Asante Babu Aspirin
Wajua kumpa mjukuu dose kwa kiasi
Mjukuu kukupenda atazidi
Nitakuheshimu Babu ili nizidi barikiwa
Wajua Babu sikulelewa kuogopa chochote
Maisha hayajanifundisha uoga ni chochote
Kuna wakati naona na iwe vyovyote
Nitakuheshimu Babu ili nizid barikiwa
Nashukuru kwa BAN nimejifunza wapo wanaonijali
Zaidi wanathamini uwepo wangu Jamvini
Kadri ya uwezo wangu wa kibinadamu nitajitahidi
Tuweze kuwa pamoja mengi tufanikiwe
Babu shukrani yarudishwa kwa shukrani,naomba upokee hii hapo kutoka kwa moyo wangu:
The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:
Michelle (Today)
Kwa kibongofleva sasa:
Sasa huyu ndo Michelle sasaaa
Vile anajua kujirudi vilee,
Vile anapendwa na watu vile,
Vile anapendwa na babu vile,
Vile watu walimmisi vile...
Piga makofi kwa pamoja...pwa pwa
Ruka ruka kwa pamoja.... paa paa,
Cheza wote kwa pamoja.... haa haa
Imba wote kwa pamoja....maa maaa
Wote twende kuleee...wapiii
Kwa Michele kuleee....wapiii,
Kwenye kao lake kuleee...wapiii
Tukacheze naye..... tukaruke naye....tukaimbe nayeee.....
Babu amekaa anasikiliza....wajikuu wanacheza:clap2::clap2::clap2:
Na: Babu Asprin aka BIG BRAZA ODM!
Copyright Reserved
BABU MJUKUU IS BLUSHING!!! AM HAPPY AND PRAY THAT YOU LIVE LONG!!!
THANK YOU,YOU MEAN A LOT TO ME,AM BACK FOR YOU NA WAJUKUU WENGINE!!!
:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:
Thats my girlie.......
Wakati mama yako anakuzaa, nilmwambia akupe jina la Michelle, akanitii. Hakika umefuata nyayo za mama yako....Utiifu.
Babu loves you coz we ni mtiifu. Dont tukana them chizissss!:clap2::clap2:
Halafu usisahau, ule mkongojo uliontumia umeshapinda, tafadhali ntumie mwingine.
babu kwa heshima yako na ld nimefuta matusi yote ya leo,manake siku ile halikuwa tusi leo ndo nilimaanisha kutukana!!ukiliona lililobaki niambie nilitoe,nimekuja na hamu ya kupewa ban ya maisha hapa jf,lakini babu kanionyesha uwepo wangu hapa ni furaha yake!!!
Nitakutumia mwingine babu huo mkongojo,wataka aina ile ile au aina tofauti?
Asante rafiki. Unajua mimi ndo kwanza jana nimefukuzwa kazi kuko Misri kutokana na hasira za wananchi wangu kwa hiyo now very sensitive na hasira. Kwa hiyo jaribu kidogo kutofautisha kutofautiana bila kuonesha hasira. VoiceofReason ndo kanishauri hivyo
babu anapenda na wakati bana, letea mkongojo wa dhahabu...
You are welcome darling:welcome: uje huku tu:violin::lalala::drum: manake kule unaweza kupewa :ban:kwa sababu ya kuzozana na:bange: halafu tukakumisi. babu atakuwa:disapointed: kwa kuwa atamkosa mjukuu wa kum:busu afu atakuwa :A S-confused1:.
YOU KNOW WORRRAMMM SEYYYING?
thanks for cup of cofffee!
ipo poa kabisa nakusubiri wewe tu
Karibu dearest...nilikumiss jamvini!
As you wish Babu,nitakuletea wa dhahabu,kishikio cha diamond,wabakie kusema we fisadi,manake wenye njaa wanafikiri wenzao kwa kuwa wanazo basi wameibiwa kumbe wenzao twalala masaa matatu ili maisha yawe bora na Babu afurahie wajukuu zake!!!
Babu yuko proud na wajukuu zake wa kike.....hawamsahau babu yao. wakipewa hela na waume zao, wanagawa nusu wanampelekea babu yao...raha gani hii. Haya ya kiume yananitatiza kweli, hata baiskeli yangu mwenyewe hayataki niuze, et yanataka nife yairithi lol!
Karibu sana you have been missed a lot..., Six pages is evidence of that
Na tofauti na wengine wanavyosema you are welcomed in all Majukwaa's.
JF is all about opinions na kila mtu mwenye opinion am sure has got a right to say them in any forum.., and am sure there are no experts in politics, JF photos, Sports e.t.c. we are all in the same playing field just sharing different views..
Again welcome back hope to see you soon Jukwaa la Siasa
Bora umegundua Babu,yaani hawana shukrani kabisaa,wako radhi wakahonge wapate K.....lakini Babu wamsahau,mimi hata nikihongwa kama kawaida napeleka kwa Babu...l.o.l
Aisee...mi ni speshalisti wa Jukwaa la MMU katika idara ya Wajukuu. Simpotezi hata mmoja.Karibu sana you have been missed a lot..., Six pages is evidence of that
Na tofauti na wengine wanavyosema you are welcomed in all Majukwaa's.
JF is all about opinions na kila mtu mwenye opinion am sure has got a right to say them in any forum.., and am sure there are no experts in politics, JF photos, Sports e.t.c. we are all in the same playing field just sharing different views..
Again welcome back hope to see you soon Jukwaa la Siasa
Thanks VOR,you are one of the two men i respect in this forum,am happy even when you criticize me coz in a way you help me understand the other side of the coin while helping me become strong in discussions and analysis.....am grateful,it worth bn here with people like you!!!
Jukwaa la siasa nimepita sijaona jipya,will be back there!!!