Wanakijiji wa Michenga Ruangwa Lindi walazimishwa kujitolea kwenye shule ya sekondari Michenga ila mwenge wa uhuru ulivyokuja kufungua jengo bajeti inasema kusafisha eneo, kuchimba msingi pamoja na kujaza kifusi kwenye vyumba wametumia milioni 15 wakati hizo kazi zimefanywa na wananchi.