MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Wasalaam wana JF,
Hakika kuchepuka ni kukosa maadili, ni kinyume na mpango wa Mungu. Mtu anapaswa kukaa njia kuu, kukaa na familia moja kama mkristu na zisizozidi nne kama Muislam.
Lakini, kuna wakati tunajikwaa na kuchepuka au tuna lazimika kuchepuka kutokana na mikingamo ya ndani.
Sasa basi, lazima tukiri michepuko ipo na inafaa na kusaidia wakati wa dhiki na pengine raha. Hivyo basi, tuiheshimu.
Naomba kutoa heshima zangu za dhati kwa michepuko iliyopo JF, mna umuhimu mkubwa kwetu. ASANTENI