MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Kiasili sisi wanaume ni possessiveEm mnijibu kwanini mnakuwa na wivu na michepuko wakati muda huo nyie wenyewr mnasaliti wake zenu?
HatimayeWasalaam wana JF
Hakika kuchepuka ni kukosa maadili, ni kinyume na mpango wa Mungu. Mtu anapaswa kukaa njia kuu, kukaa na familia moja kama mkristu na zisizozidi nne kama muislam.
Lakini, kuna wakati tunajikwaa na kuchepuka au tuna lazimika kuchepuka kutokana na mikingamo ya ndani.
Sasa basi, lazima tukiri michepuko ipo na inafaa na kusaidia wakati wa dhiki na pengine raha. Hivyo basi, tuiheshimu.
Naomba kutoa heshima zangu za dhati kwa michepuko iliyopo JF, mna umuhimu mkubwa kwetu. ASANTENI
AbeeeTumefikiwa
Sema kituHahahah
Sijasema kitu
HatimayeHatimaye
Tanzania mume wa mtu anataka mchepuko muamnifu 😅😅😅Abeee
Sharing is caringNdo maana sitaki kuwa mchepuko....maana hapa wataona wanasifiwa kumbe wanadharaulika
Hivi mchepuko ni nani au nini maaana ya mchepukoHatimaye
Plan BHivi mchepuko ni nani au nini maaana ya mchepuko
SorSharing is caring
Sasa unaweza jihisi wewe ni main kumbe ndo mchepuko😀😀😀unless umeolewaNdo maana sitaki kuwa mchepuko....maana hapa wataona wanasifiwa kumbe wanadharaulika
Mna wanavyoojaaga wivuTanzania mume wa mtu anataka mchepuko muamnifu 😅😅😅
Mchepuko nacho cheo, ila kinafichwa sanaNdo maana sitaki kuwa mchepuko....maana hapa wataona wanasifiwa kumbe wanadharaulika
uhalisia mkuu ndio huoSasa unaweza jihisi wewe ni main kumbe ndo mchepuko😀😀😀unless umeolewa
Hatari na nusuTanzania mume wa mtu anataka mchepuko muamnifu 😅😅😅
Lazima uwe na wivu na mali yako hata kama sio halaliEm mnijibu kwanini mnakuwa na wivu na michepuko wakati muda huo nyie wenyewe mnasaliti wake zenu?