Michepuko iheshimiwe

Haha ni mpigania haki za wana ndoa?
Asubuhi nilimwandikia hivi akaniahushua:-

Tatizo unageneralize! Kuna tofauti kubwa kati ya mwanamke na Mwanaume. Kwa Mwanaume mtu anayelala naye Kitanda kimoja hadi asubuhi, anamthamini na kumpenda! Pengine hata sex si lazima. Kwa mwanamume kusex na mtu ni sawa na kupiga punyeto. Ni njia ya kutoa s.hahawa mwilini mwake. Hiyo huyo Mimi21 ndiye mke wa jamaa, wengine ni kwa ajili ya kuziondoa mwilini. Jinsi ya kufanya ni kujua wapi anateleza katika kuhakikisha mumewe anaziondoa mwilini mwake! Wanawake mkilifahamu hili mtatunza ndoa zenu.

Kwa kumalizia, ukitaka kujua watu wameathiriwa na pornography soma uzi wa sex fantasies utajua haiwezekani kufanyika katika ndoa bali nje ya ndoa. Hivyo michepuko ndiyo inayomaliza hamu ya wanandoa hasa wakiwa Vijana. Na huko wakishabilingishana na sarakasi Kibao wanarudi kwa wapendwa wao kuendelea na Kifo cha Mende kinachochosha. Umri ukifika wanatulia ndani ya ndoa
 
Ila sehemu kubwa sisi wanaume ni polygamist, hatutosheki na mwanamke mmoja, kila tundu tunataka kuingiza kifanyio
 
🤣🤣🤣🤣 but ipo michepuko iloyopendwa pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…