MICHEPUKO INAKUHARIBIA MAISHA NA KUKUCHAFULIA NYOTA YA KIZAZI CHAKO.

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
MICHEPUKO INAKUHARIBIA MAISHA NA KUKUCHAFULIA NYOTA YA KIZAZI CHAKO.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Usijesema hili nalo sikukwambia.

Ikiwa umeoa, Mkeo anakusumbua Sana. Iwe anakunyima tendo la ndoa, au anakufanya uhisi unahitaji Mwanamke mwingine. Unanjia mbili za kufanya ili kukabiliana na Hali hiyo.
1. Mpe Talaka
2. Au Oa Mke wa Pili.
Baada ya kumkanya vyakutosha ukaona habadiliki. Tumia Moja ya Njia hizo hapo mbili. Ukimwambia kama hatabadilika utaoa Mke wa Pili, akakujibu OA, huyo Mpe Talaka.

Mwanamke yeyote ambaye anajua umeoa lakini bado anakubali uwe naye kwenye mahusiano huyo ni Kahaba. Huyo anataka ujiingize kwenye ibada za mashetani.
Kumbuka Wanawake ndio good conductors wanaotumiwa kirahisi na Shetani(negative energy).

Mwanamke yeyote muadilifu, mwema, anayeongozwa na roho takatifu za miungu watakatifu hawezi kukubali kuwa na mahusiano na wewe ilhali wewe ni Mume wa Mtu. Huyo mwanamke hayupo.

Hivyo ni muhimu kuelewa haya ili unapoenda kufanya ufuska ujue nini unaenda kufanya.

Zinaa ni IBADA za kishetani(negative energy)Ili upate nguvu za kishetani kuna ibada lazima uzifanye. Uzinzi ni sehemu ya IBADA hizo.

Uzinzi ndio ibada pekee ya kishetani inayochafua nafsi ya mtu direct. Yaani ndio ibada inayokufanya uwe Najisi kwa haraka Sana.

Maisha yako na njia yako itaanza kuharibika siku Ile utakayoanza kuchepuka na kuwa na michepuko.
Mambo yako yataanza kwenda swege mnege.

Kuna wale wanaojua Jambo hili, hivyo wao hutoa Kafara waendapo kwa waganga, ili kulinda Njia Zao kwa njia za kishetani.
Hapa utahitaji mganga Konki aliyebobea na mwenye Majini makubwa kwaajili ya Kazi hizo.

Ni rahisi Sana kufa mapema kabla ya umri wako yaani hata kabla hujafikisha Miaka 50 ikiwa utajiingiza kwenye ibada za kishetani pasipo kujipatia ulinzi wa kutosha.

Ni rahisi Sana Nyota yako kushushwa ikiwa unamichepuko alafu hujajidhatiti.

Huwezi ukawa mtu wa michepuko alafu huendi kwa waganga kujilinda alafu utegemee mambo yako yaende sawia.
Wengi waliofanya hivyo walipasua matairi mapema Sana hata kabla hawajafika popote.

Mbali na Kupata Magonjwa ya kimwili kama Ukimwi, Kisonono na Kaswende pia kuchepuka kutakupa Magonjwa Mabaya ya Kiroho ambayo hayo huenda kizazi Mpaka kizazi chako.

Usichepuke.
Usiwe na Mchepuko.
Kaa mbali na michepuko, hao ni mashetani. Unaweza usinielewe vizuri.

Ni Bora uoe Wake wengi, kwa sababu kuoa ni ibada takatifu hivyo positive energy inatarajiwa katika maisha yako.

Ukiona familia yako haina Amani, pesa na riziki zinapatikana kwa shida, ujue Mmoja Kati yenu anafanya IBADA za kishetani alafu hayupo kwa shetani.

Ndoa na familia ili iwe na furaha lazima wote muwe Wasafi.
Yaani kama Mke na Mume hamchepuki automatically mtashangaa mnafuraha na mambo yenu yanaenda.

Lakini ikitokea Mmoja wenye ana-cheat hata kwa Siri Sana. Utashangaa mnaanza kugombana kwa vitu Vidogovidogo visivyo na kichwa Wala miguu. Ujue tayari negative energy IPO katika nyumba yenu.

Utashangaa watoto wanahangaika, utashangaa, biashara zinakuwa na mikosi ya hapa na pale, utashangaa mikosi ndani ya nyumba kama Magonjwa, hasara za hapa na pale labda TV kuvunjika, gari Kupata ajali, yaani eneo lenu linakuwa Halina Usalama.

Safu yenu ya ulinzi kuna upenyo adui anaingiza Mikosi.

Fuatilia, siku ambayo wote mtakuwa mnafuraha, mnaishi kwa upendo, Mmoja wenu kapumzika ku-cheat, utashangaa mambo yanakuwa mazuri. Pesa inaonekana. Yaani inafanya vitu vinavyoonekana.

Michepuko inaleta roho za zinaa, ushoga, uasherati ndani ya nyumba yenu.
Hata uwe unafanya kwa Siri Sana. Yaani Sana. Utashangaa Siri zinaibuliwa na Binti yenu kuwa Malaya au kuleta Mimba nyumbani.
Au unashangaa mtoto wa kiume anakuwa na Tabia za ajabuajabu.

Huwezi ificha Tabia iwe nzuri au Mbaya. Tabia yoyote unayoifanya kwa Siri utashangaa inafanywa na mtoto wako hadharani. Hilo ni Jambo la kawaida.

Watu watasema mbona Baba au mama yake anatabia nzuri lakini Sisi wakulungwa au wahenga watakuambia Mtoto wa Nyoka ni Nyoka na Maji hufuata Mkono.

Asilimia tisini ya Tabia za kizazi chako zitatoka kwako.

Kuna IBADA za kufanya Ikiwa utatoka Ku-cheat kama sehemu ya kuitakasa ili kuondoa maambukizi na Magonjwa ya Kiroho.
Kuna Njia Natural na zipo ambazo zinafanywa kwa waganga wa kienyeji. Na zipo zinazoagizwa na Mamlaka za Mungu

Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Wewe mtumishi ni mcha Mungu, tufanyeje?Tuepuke na haya mambo?Tufunge na kusali au!
 
Kuna watu wengi ni vicheche hatar tunashinda nao ma bar ili kila siku wanashusha mijumba ,mi lodge wanaongeza biashara .yaan namaanisha wako wengi sana wanaendelea fanikiwa....

Ila pia kuna watu wengi sana wao ni waaminifu sana...ila wameishia ka jumba ka moja km kaburi...hata biashara zao nyingi zimefeli...

Hivyo naomba uamini maisha huwa ni Bahati tu
 
Soma vizuri uelewe.

Huwezi Fanya uzinzi alafu ukafanikiwa kama hufanyi Kafara na biashara haramu.
Na huwezi Fanya biashara haramu bila kujihusisha na shirki
 
MICHEPUKO INAKUHARIBIA MAISHA NA KUKUCHAFULIA NYOTA YA KIZAZI CHAKO.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Usijesema hili nalo sikukwambia.

Ikiwa umeoa, Mkeo anakusumbua Sana. Iwe anakunyima tendo la ndoa, au anakufanya uhisi unahitaji Mwanamke mwingine. Unanjia mbili za kufanya ili kukabiliana na Hali hiyo.
1. Mpe Talaka
2. Au Oa Mke wa Pili.
Baada ya kumkanya vyakutosha ukaona habadiliki. Tumia Moja ya Njia hizo hapo mbili. Ukimwambia kama hatabadilika utaoa Mke wa Pili, akakujibu OA, huyo Mpe Talaka.

Mwanamke yeyote ambaye anajua umeoa lakini bado anakubali uwe naye kwenye mahusiano huyo ni Kahaba. Huyo anataka ujiingize kwenye ibada za mashetani.
Kumbuka Wanawake ndio good conductors wanaotumiwa kirahisi na Shetani(negative energy).

Mwanamke yeyote muadilifu, mwema, anayeongozwa na roho takatifu za miungu watakatifu hawezi kukubali kuwa na mahusiano na wewe ilhali wewe ni Mume wa Mtu. Huyo mwanamke hayupo.

Hivyo ni muhimu kuelewa haya ili unapoenda kufanya ufuska ujue nini unaenda kufanya.

Zinaa ni IBADA za kishetani(negative energy)Ili upate nguvu za kishetani kuna ibada lazima uzifanye. Uzinzi ni sehemu ya IBADA hizo.

Uzinzi ndio ibada pekee ya kishetani inayochafua nafsi ya mtu direct. Yaani ndio ibada inayokufanya uwe Najisi kwa haraka Sana.

Maisha yako na njia yako itaanza kuharibika siku Ile utakayoanza kuchepuka na kuwa na michepuko.
Mambo yako yataanza kwenda swege mnege.

Kuna wale wanaojua Jambo hili, hivyo wao hutoa Kafara waendapo kwa waganga, ili kulinda Njia Zao kwa njia za kishetani.
Hapa utahitaji mganga Konki aliyebobea na mwenye Majini makubwa kwaajili ya Kazi hizo.

Ni rahisi Sana kufa mapema kabla ya umri wako yaani hata kabla hujafikisha Miaka 50 ikiwa utajiingiza kwenye ibada za kishetani pasipo kujipatia ulinzi wa kutosha.

Ni rahisi Sana Nyota yako kushushwa ikiwa unamichepuko alafu hujajidhatiti.

Huwezi ukawa mtu wa michepuko alafu huendi kwa waganga kujilinda alafu utegemee mambo yako yaende sawia.
Wengi waliofanya hivyo walipasua matairi mapema Sana hata kabla hawajafika popote.

Mbali na Kupata Magonjwa ya kimwili kama Ukimwi, Kisonono na Kaswende pia kuchepuka kutakupa Magonjwa Mabaya ya Kiroho ambayo hayo huenda kizazi Mpaka kizazi chako.

Usichepuke.
Usiwe na Mchepuko.
Kaa mbali na michepuko, hao ni mashetani. Unaweza usinielewe vizuri.

Ni Bora uoe Wake wengi, kwa sababu kuoa ni ibada takatifu hivyo positive energy inatarajiwa katika maisha yako.

Ukiona familia yako haina Amani, pesa na riziki zinapatikana kwa shida, ujue Mmoja Kati yenu anafanya IBADA za kishetani alafu hayupo kwa shetani.

Ndoa na familia ili iwe na furaha lazima wote muwe Wasafi.
Yaani kama Mke na Mume hamchepuki automatically mtashangaa mnafuraha na mambo yenu yanaenda.

Lakini ikitokea Mmoja wenye ana-cheat hata kwa Siri Sana. Utashangaa mnaanza kugombana kwa vitu Vidogovidogo visivyo na kichwa Wala miguu. Ujue tayari negative energy IPO katika nyumba yenu.

Utashangaa watoto wanahangaika, utashangaa, biashara zinakuwa na mikosi ya hapa na pale, utashangaa mikosi ndani ya nyumba kama Magonjwa, hasara za hapa na pale labda TV kuvunjika, gari Kupata ajali, yaani eneo lenu linakuwa Halina Usalama.

Safu yenu ya ulinzi kuna upenyo adui anaingiza Mikosi.

Fuatilia, siku ambayo wote mtakuwa mnafuraha, mnaishi kwa upendo, Mmoja wenu kapumzika ku-cheat, utashangaa mambo yanakuwa mazuri. Pesa inaonekana. Yaani inafanya vitu vinavyoonekana.

Michepuko inaleta roho za zinaa, ushoga, uasherati ndani ya nyumba yenu.
Hata uwe unafanya kwa Siri Sana. Yaani Sana. Utashangaa Siri zinaibuliwa na Binti yenu kuwa Malaya au kuleta Mimba nyumbani.
Au unashangaa mtoto wa kiume anakuwa na Tabia za ajabuajabu.

Huwezi ificha Tabia iwe nzuri au Mbaya. Tabia yoyote unayoifanya kwa Siri utashangaa inafanywa na mtoto wako hadharani. Hilo ni Jambo la kawaida.

Watu watasema mbona Baba au mama yake anatabia nzuri lakini Sisi wakulungwa au wahenga watakuambia Mtoto wa Nyoka ni Nyoka na Maji hufuata Mkono.

Asilimia tisini ya Tabia za kizazi chako zitatoka kwako.

Kuna IBADA za kufanya Ikiwa utatoka Ku-cheat kama sehemu ya kuitakasa ili kuondoa maambukizi na Magonjwa ya Kiroho.
Kuna Njia Natural na zipo ambazo zinafanywa kwa waganga wa kienyeji. Na zipo zinazoagizwa na Mamlaka za Mungu

Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Uko sahihi,ingawa kuna wazinzi watapinga.Mara zote jaribu kuchunguza nyumba za wachepukaji huwa hazina amani,licha ya kuwa hakuna aliyewahi kumfumania mwenzake.Kinachotokea ni, kwakuwa mmekuwa mwili mmoja tayari katika ulimwengu wa roho,kila unalolifanya siri roho zenu zinaona na kuanza kupambana ili kupinga roho nyingine ambayo mmeungana nayo kimwil...
 
Mkuu naomba utuelekeze njia za kujisafisha kiroho, ziwe za asili au ibada, sisi wazinzi, au kama nataka kuacha kabisa nifanye nini ili kukata ule muunganiko wa kiroho, au kwa lugha nyingine kuziba zile njia za roho chafu, ili niwe msafi totally.
 
Nakumbuka mtibeli uliwahi kuleta uzi ukidai mkeo amekasirika kwasababu ndoa yenu imedumu muda mrefu bila kubarikiwa gari.

Ukaumia sana, hata maelezo uliyoyatoa hayakujitosheleza.

Sasa kwa muktadha wa mada hii ya leo, kukiwa na changamoto kwenye ndoa maana yake kuna mtu anachepuka.

Sijui unaelewa ninakoelekea...
 
MICHEPUKO INAKUHARIBIA MAISHA NA KUKUCHAFULIA NYOTA YA KIZAZI CHAKO.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Usijesema hili nalo sikukwambia.

Ikiwa umeoa, Mkeo anakusumbua Sana. Iwe anakunyima tendo la ndoa, au anakufanya uhisi unahitaji Mwanamke mwingine. Unanjia mbili za kufanya ili kukabiliana na Hali hiyo.
1. Mpe Talaka
2. Au Oa Mke wa Pili.
Baada ya kumkanya vyakutosha ukaona habadiliki. Tumia Moja ya Njia hizo hapo mbili. Ukimwambia kama hatabadilika utaoa Mke wa Pili, akakujibu OA, huyo Mpe Talaka.

Mwanamke yeyote ambaye anajua umeoa lakini bado anakubali uwe naye kwenye mahusiano huyo ni Kahaba. Huyo anataka ujiingize kwenye ibada za mashetani.
Kumbuka Wanawake ndio good conductors wanaotumiwa kirahisi na Shetani(negative energy).

Mwanamke yeyote muadilifu, mwema, anayeongozwa na roho takatifu za miungu watakatifu hawezi kukubali kuwa na mahusiano na wewe ilhali wewe ni Mume wa Mtu. Huyo mwanamke hayupo.

Hivyo ni muhimu kuelewa haya ili unapoenda kufanya ufuska ujue nini unaenda kufanya.

Zinaa ni IBADA za kishetani(negative energy)Ili upate nguvu za kishetani kuna ibada lazima uzifanye. Uzinzi ni sehemu ya IBADA hizo.

Uzinzi ndio ibada pekee ya kishetani inayochafua nafsi ya mtu direct. Yaani ndio ibada inayokufanya uwe Najisi kwa haraka Sana.

Maisha yako na njia yako itaanza kuharibika siku Ile utakayoanza kuchepuka na kuwa na michepuko.
Mambo yako yataanza kwenda swege mnege.

Kuna wale wanaojua Jambo hili, hivyo wao hutoa Kafara waendapo kwa waganga, ili kulinda Njia Zao kwa njia za kishetani.
Hapa utahitaji mganga Konki aliyebobea na mwenye Majini makubwa kwaajili ya Kazi hizo.

Ni rahisi Sana kufa mapema kabla ya umri wako yaani hata kabla hujafikisha Miaka 50 ikiwa utajiingiza kwenye ibada za kishetani pasipo kujipatia ulinzi wa kutosha.

Ni rahisi Sana Nyota yako kushushwa ikiwa unamichepuko alafu hujajidhatiti.

Huwezi ukawa mtu wa michepuko alafu huendi kwa waganga kujilinda alafu utegemee mambo yako yaende sawia.
Wengi waliofanya hivyo walipasua matairi mapema Sana hata kabla hawajafika popote.

Mbali na Kupata Magonjwa ya kimwili kama Ukimwi, Kisonono na Kaswende pia kuchepuka kutakupa Magonjwa Mabaya ya Kiroho ambayo hayo huenda kizazi Mpaka kizazi chako.

Usichepuke.
Usiwe na Mchepuko.
Kaa mbali na michepuko, hao ni mashetani. Unaweza usinielewe vizuri.

Ni Bora uoe Wake wengi, kwa sababu kuoa ni ibada takatifu hivyo positive energy inatarajiwa katika maisha yako.

Ukiona familia yako haina Amani, pesa na riziki zinapatikana kwa shida, ujue Mmoja Kati yenu anafanya IBADA za kishetani alafu hayupo kwa shetani.

Ndoa na familia ili iwe na furaha lazima wote muwe Wasafi.
Yaani kama Mke na Mume hamchepuki automatically mtashangaa mnafuraha na mambo yenu yanaenda.

Lakini ikitokea Mmoja wenye ana-cheat hata kwa Siri Sana. Utashangaa mnaanza kugombana kwa vitu Vidogovidogo visivyo na kichwa Wala miguu. Ujue tayari negative energy IPO katika nyumba yenu.

Utashangaa watoto wanahangaika, utashangaa, biashara zinakuwa na mikosi ya hapa na pale, utashangaa mikosi ndani ya nyumba kama Magonjwa, hasara za hapa na pale labda TV kuvunjika, gari Kupata ajali, yaani eneo lenu linakuwa Halina Usalama.

Safu yenu ya ulinzi kuna upenyo adui anaingiza Mikosi.

Fuatilia, siku ambayo wote mtakuwa mnafuraha, mnaishi kwa upendo, Mmoja wenu kapumzika ku-cheat, utashangaa mambo yanakuwa mazuri. Pesa inaonekana. Yaani inafanya vitu vinavyoonekana.

Michepuko inaleta roho za zinaa, ushoga, uasherati ndani ya nyumba yenu.
Hata uwe unafanya kwa Siri Sana. Yaani Sana. Utashangaa Siri zinaibuliwa na Binti yenu kuwa Malaya au kuleta Mimba nyumbani.
Au unashangaa mtoto wa kiume anakuwa na Tabia za ajabuajabu.

Huwezi ificha Tabia iwe nzuri au Mbaya. Tabia yoyote unayoifanya kwa Siri utashangaa inafanywa na mtoto wako hadharani. Hilo ni Jambo la kawaida.

Watu watasema mbona Baba au mama yake anatabia nzuri lakini Sisi wakulungwa au wahenga watakuambia Mtoto wa Nyoka ni Nyoka na Maji hufuata Mkono.

Asilimia tisini ya Tabia za kizazi chako zitatoka kwako.

Kuna IBADA za kufanya Ikiwa utatoka Ku-cheat kama sehemu ya kuitakasa ili kuondoa maambukizi na Magonjwa ya Kiroho.
Kuna Njia Natural na zipo ambazo zinafanywa kwa waganga wa kienyeji. Na zipo zinazoagizwa na Mamlaka za Mungu

Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Katika IBADA za kishetani UZINZI ni moja ya hiyo IBADA!?
 
Mtibeli kama kawaida yake, anaandika kitibeli
 
Back
Top Bottom