Michepuko msitufanye Benki ya Dunia

Ukiwa mchepuko na upo humu jf lazima uhisi kizunguzungu[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ukiwa mchepuko na upo humu jf lazima uhisi kizunguzungu[emoji38][emoji38][emoji38]
Wanapata taab sana ...ni haki yao aisee..
Kuna hiyo stail inaitwa popo kanyea mbingu mbwa kchoka ...na ile kiranga komo...mtu anapigishwa mswaki had kwenye koromelo ..anatapika lakin wapi...anamezeshwa..tu ...

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Huna hela kwann unataka kuwa na mchepuko?
Baki na mkeo!

Kwanza mwanume wa kumuomba omba hela sio kabisa ,mwanaume anatakiwa ajue majukumu yake!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Michepuko waachieni walio stable kiuchumi.

Kuhudumia wanawake wawili ni ghali sana kama bado hujasimama kisawasawa.

Baki na mwanamke wako, jisevie baada ya mlo. Lala usingizi mtamu, amka kapambane..
[emoji3][emoji3]na km kwa mke hapati ndo ataelewa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani lazima uwe na mchepuko kama huwezi kumhudumia?

Ukitaka vya bure utavipata kwa mkeo and by the way hata yeye pia ulimtolea mahari. So hakuna cha BURE bro
 
Kwahiyo umlale wewe pesa ya matumizi akaombe kwa wazazi wake?[emoji848]aisee kuna wanawake wanakutanaga na wanaume majanga!
Serious kabisa umlale ww,pesa ya sabuni ya kufulia hiyo chupi ya shahawa zako akaombe kwa mzazi wake?
Aisee,kuwa na mwanamke nje ya mkeo lzm ujiweze kiuchumi,huwezi waachie wanaoweza kuhudumia tena bila kuombwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh,ndo wanafanyiwaga hivi?[emoji848]ila sio wote naamini[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana ela analalamika anafanywa kitega uchumi wakat mwenzio kalipa Kodi ml 4 atafute wa level zake za miambili miambili[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo ni kwamba kila mmoja anakwepa majukumu yake sii wanaume sii wananwake
Aah wapi kuna wanaume bwanaa
Yaani wanaume na nusu!
Anaelewa majukumu yake anakaa Kwenye nafasi yake[emoji119]
Huombi hela ,anaelewa lazima uende saluni,na matumizi mengine ya kawaida unapewa huombi!

Yaani utaomba vile vya lzm tu ambavyo havipo Kwenye ratiba na ...km hivyo labda mtaji,tena mwenye akili atakusaidia ili uache kuomba pesa ndogo ndogo nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…