Michezo gani shule ya msingi ulikua unaipenda sana?

Michezo gani shule ya msingi ulikua unaipenda sana?

jerrysonkiria

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
2,228
Reaction score
2,901
Ukizungumzia michezo primary school nilikua napenda sana gololi ,bahati nzuri nilikua na coach wangu anaitwa mussa scot alini coach kucheza gololi hadi nikawa master

Nakumbuka tulikuwa tunaenda na gololi mbili na chupa ya maji ,tunahakikisha tukirudi nyumbani tumejaza chupa pomoni kwa gololi

Vipi wewe mchezo gani shule ya msingi ulikuwa unauzimia kinoma?
 
Rede(chapadunda) kila timu ilikua inanikimbilia mana nlikua nikidaka mpira lazima ufike marekani na ninawaokoa wote wa timu yangu.
Alaf sasa usiombe siku nikiwa nimevaa kyupi mpya weee!!!ntafunga magoli zaidi ya 50 mana si kwa kuruka
 
Back
Top Bottom