Michezo mengine kina dada acheni tu...aaahhh!!!

Waache wajikunje na kujikunjua wakishaanza kuchakachuluwa hao kwisha kazi.Ila wa hivi najiuliza ukiwa nae sehemu sehemu sarakasi zake utaziweza kweli au utaishia kutepeta ukijihisi umechukua mlemavu?:confused2:

...Hujatulia! 😛ound:
 
:A S 465:mibinuko c kwavile yuko mwenyewe, akiwa na mchizani anasahau kila kitu, vyabaki vilio tu na miguno.:hat:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…