Tetesi: Michezo mingi ya kamali ni feki

Tetesi: Michezo mingi ya kamali ni feki

Gambino X

Member
Joined
Aug 20, 2014
Posts
75
Reaction score
104
Mambo vp, mnajua kuwa hii michezo ya kamali ukitoa za mpira wa miguu ni feki balaa... Nasema feki kwasababu moja kuu kwamba hii michezo mshindi anachaguliwa ofisini yani wanaamua leo tumpe flani wengine ufata majina ya ukoo n.k ni system na mara nyingi huchagua washindi wakishafikisha pesa yao.

Kuwa makini kama ishu kucheza kamali cheza za michezo kama mpira kwa kuwa hakuna anae panga matokeo ni zali lako tu...
 
KAMALI ni KAMALI tu wala haina nzuri wala mbaya
 
Back
Top Bottom