michezo ni muhimu?

michezo ni muhimu?

in good faith

Member
Joined
Jan 4, 2012
Posts
7
Reaction score
0
mifumo ya kufikiri ya binadamu haifanani duniani kote. aghalabu kuna mambo ambayo hujitokeza katika jamii zote duniani. katika umri wangu bado sijawahi kusikia jamii isiyojihusisha na michezo ya aina yoyote duniani. inawezekana jamii hiyo ipo ila mimi ndio siijui. swali ninalopenda kuuliza ni je, michezo ina umuhimu mkubwa kiasi gani katika maisha ya binadamu?
Tanzania tuliwahi kufuta michezo mashuleni ili watoto wetu wasipoteze mda wa kujisomea kwenye michezo. serikali ilipongezwa sana kwa uamuzi huo. baadae michezo ilirudishwa mashuleni napo pia serikali ilipongezwa sana kwa uamuzi huo. lakini mpaka leo hatujaelezwa vema umuhimu wa michezo katika jamii ya kitanzania na hasa tukianzia mashuleni.
 
Back
Top Bottom