Kwema kabisa mtani, hapo kwa kuwa tayari kwa lolote ni kauli za mtu aliyejikatia tamaaSie tupo tayari kwa lolote Mtani.
Mie Alhamdulillah sijambo kabisa Mtani. Kwema?
Hivyo hii ndio tafsiri yako Mtani. LolKwema kabisa mtani, hapo kwa kuwa tayari kwa lolote ni kauli za mtu aliyejikatia tamaa
Ndivyo ilivyoHivyo hii ndio tafsiri yako Mtani. Lol
Hivyo hii ndio tafsiri yako Mtani. Lol
ligi iliishia hapa,tunatafuta FA sasa
Kwema kabisa Shem wa mie. Tunaisubiria june moja sasa.Shemela kwema?