Bacyclerbacy
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 1,744
- 3,020
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Kwema kabisa Shem wa mie. Tunaisubiria june moja sasa.
Uwiiii. Wajua vile nakumiss mdogo wa mie.👌👌[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Sent using Jamii Forums mobile app
MaashaAllah nimekumis zaid dadaa[emoji3059]Uwiiii. Wajua vile nakumiss mdogo wa mie.[emoji108][emoji108]
Haya nasubiria hayo mazaga zaga ya Idd yaliyobakia.
Hahahaaa. Haya nipo nasubiria yale ya baada ya funga ya sita.MaashaAllah nimekumis zaid dadaa[emoji3059]
Yan nimeona hicho kipicha chako nikachanganyikiwa[emoji3]
Mazagazaga si viporo sasa jmn
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaaHahahaaa. Haya nipo nasubiria yale ya baada ya funga ya sita.
Usisahau kunialika na mie.
Ili mgombee nafasi yenu ya nne sijui ya tatu vile. Hongereni lakiniKwema kabisa Shem wa mie. Tunaisubiria june moja sasa.
Dah!!! inamaana Yanga wananyang'anyana na Namungo FC nafasi ya nne na ya tatu!!!? Kweli hujafa hujaumbika🤣🤣🤣ligi iliishia hapa,tunatafuta FA sasa
yajayo yanafurahisha
Ligi iliisha tarehe 08/03/2020. Hii ya tarehe 01/06/2020 ni mazoezi.Hamjasahau tu msimamo? Haya karibuni Tena Wana simbaaaaaa,