Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
- Thread starter
-
- #21
ha ha ha ha unanikumbusha mbali mkuu,kuna cku nilikutana na jamaa m1 anajifanya yy ni MTZ,Lkn nilimtilia mashaka kutokana uongeaji wake,bac nikamuambia amalizie nyimbo ifuatayo: KULA MBAKISHIE BABA KULA..........Roho iliniuma sana ndugu zangu maana alishindwa kumaliziakula mbakishie baba, kabla haujaingia kwenye game, unaulizwa mapema, "utaweza?"
halafu mnakumbuka mchezo wa bong'oa? ukiinama tu, umepigwa bonge la teke.
mchezo wa baba na mwingine mama
Mkuu vuta pcha jitu kubwa zima halikucheza kombolela/kidali poo/kula mbakishie baba,lataka cheza sasa hv itakuwaje?mchezo rahisi kwao kuucheza ni kibabaNakumbuka nilipenda mno kuwa baba wakati huo namchagua nani awe mama. Acha tu.. Utoto mtamu jamani, ndo maana ambao hawakupitia michezo ya utoto wanarudia ukubwani ili watimize steji za ukuaji
Hawana la kuongea maana hawajui mchezo wowote kati ya hii inayotajwa hapa!Watoto wa kota sijui kama wapo
pia kulikuwa na Kisikio poo
yote tisa kumi, ule mchezo unaitwa "cha mkononi" i mean ukiwa unakitu mkononi kitu cha kula kama ice cream au biskuti, kitumbua, andazi, mwenzako akikwambia tu cha mkononi lazima utoe, sio chako tena.
so fun, now im glad nilikulia uswahilini.