Michezo utotoni

Mwanangu kuwa kuwa nikutume unitume wapi Kwa mfalume kuna ngombe zetu 12 moja kafa kasolo nyani nyani mkingu tumkindule kasola vifiga vya bwana Juma bwana Juma gani imdodo imkuludawa kana buba.
 
Mmmh! Nakumbuka wakubwa walikuwa wanazama kwenye maji halafu mkaka na Mdada

Kumbe huko wanashikana shikana wakimaliza kila mtu anaibukia upande mwingine! !

Halafu hiyo inaenda kumaliziwa jion kwenye kombolela!

Hahahahaaaa aa uuuuuwiiiiiiiii
 

Nimepita mtaani nikakuta watoto wanaimba "mume wako ataitwa nani?" Mwingine anataja jina la mume mtarajiwa, nikashangaa!
Wakati haya mambo hufanyika tangu utotoni!
Hii imenikumbusha, watoto wanajua kinachoendelea tangu wadogo kabisa.
 
Nakumbuka kucheza nyamanyama ukitaja isiyoliwa unatoka mpaka tupate mshindi& na mwingine unaitwa ukimwi unacheza kama rede ila kuna dimba unahrsabu ukifika mia we mshindi
 
gololi..dah nlikuwa mwizi wa shilingi..nymban ili nkanunue gololi...
 
Dah! Kombolela na chandimu vilinisababishia vichapo sana toka kwa bimkubwa maana nikirudi jioni kama sijajiumiza mguu basi ni mchafu kamakinyago. Knachofuata ITV ni kipigo cha kutosha
 
aah nakumbuka kuna wadudu tulikuwa tunafukua ardhini then tunaweka kwenye manyonyo ili yakue haraka
 
duu...bwana baba mi nakumbuka selemko...kwa wale waliokulia mbeya hii jambo inafahamika kufuatana na geographical location yake...baaasi nmechana sana nguo na kikubwa kuvunjika baada ya mgomba nlioupanda kutoka mabako yote na kiniacha katikati ya safari....loooooo ilikua ni kuburuta makalio mpaka mtoniii....!!!
 

wanaita "kudenderuka" da zamani sana mitaa ya mbeya.
 
E Bhanaee Ule Wa Kiboga Mie Ndo Nlikuw Gongagonga Mtaa Wote Watoto Wakike Enz Hzo Nmepita Xa Xku Hz Ata Wa Kuxngzw,,,,.??
 
huu uzi nimeugumia leo, dah ndugu zangu mumenikumbusha mbali sana. maana hiyo michezo yote muliyoitaja nimeipitia.
Ila mumesahau kupiga kigoma cha daku mwezi wa ramadhani.
 
huu uzi nimeugumia leo, dah ndugu zangu mumenikumbusha mbali sana. maana hiyo michezo yote muliyoitaja nimeipitia.
Ila mumesahau kupiga kigoma cha daku mwezi wa ramadhani.

we acha tu zamani raha! kurusha kombeo na manati!
 
aah nakumbuka kuna wadudu tulikuwa tunafukua ardhini then tunaweka kwenye manyonyo ili yakue haraka
Tulikuwa tukiwaita fukufuku.
Daah michezo yote hiyo tumepitia, kuna mingine mmeisahau kama vile "MPUTO" ukiwa na chochote kile iwe chakula au cha kuchezea wenzako wakikuputa kinakuwa siyo chako tena.
"CHA KUKU" huu mchezo ulikuwa wa kubahashiana ukiongeza na "BONG'OA" ilikuwa noma yaani hakuna kuinama maana ukiinama unapigwa shuti na ukisimama wima unaliwa cha KUKU dawa ilikuuwa kujiegemeza ukutana au kwenye mti.
 
Habari zenu wana JF,

Katika pitapita zangu nikaliona gari limeandikwa Utoto mtamu, basi nikakumbuka tulivyokua tunacheza kombolela. Je, mwenzangu ni michezo gani uliicheza utotoni?

Mkuu washawasha hii kombolela wengine imetukuza haraka maana masuala tuliyaanzia huko🙂 Wewe ukijificha mnakwenda nje ya eneo lililokubaliwa kwa mchezo.....Kutoka baadayeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…