Mchezo wa kuliwa na simba ! Simba (watoto) wanakaaa middle unatakiwa upite kwa hao simba. Huo mchezo ulikuwa na ka wimbo fulani "watoto wangu eeeh mimi mama yenu sina nguvu tena ya kuua simba..... (...) inaendelea bas
Mkuu washawasha hii kombolela wengine imetukuza haraka maana masuala tuliyaanzia huko🙂 Wewe ukijificha mnakwenda nje ya eneo lililokubaliwa kwa mchezo.....Kutoka baadayeeee