nyumbatatu
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,076
- 939
Mdogo wangu Rubii. Mbona unamkatisha tamaa mtoa mada? Atakuwa haji tena[emoji2]Kwahiyo tufanyaje?
Kwani kwenye huu Uzi umekuja kufanya nini?.Kwahiyo tufanyaje?
Kufanya nilichofanyaKwani kwenye huu Uzi umekuja kufanya nini?.
Ni PM tafadhari nina mazungumzo muhimu na wewe.Kufanya nilichofanya
Rubiikimimi[emoji85]
Basi endelea kufanya unachofanyaKufanya nilichofanya
Rubiikimimi[emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni PM tafadhari nina mazungumzo muhimu na wewe.
mbona unacheka sasa?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mbona unacheka sasa?
Njoo PM tuyajenge.
Wewe njoo,kwani wasiwasi wako nini?Yapi hayo
Wewe njoo,kwani wasiwasi wako nini?
Njoo PM nikupe maneno matamu matamu.
njoo PM,tusiwafaidishe watu hapa,mimi na wewe damu.Baada ya kashfa na matusi tele?.?
Dogo mamaako mdogo uyonjoo PM,tusiwafaidishe watu hapa,mimi na wewe damu.
Wagombanao ndio wapatanao.