I believe on Miracles
Member
- Apr 12, 2023
- 10
- 14
Kazi za viwandani kwa bongo nikupoteza mudaUzima upo wanaJamvi?
Naomba kwa yeyote aliye tayari, tuungane week ijayo kuzunguka viwandani kutafuta KAZI
Mimi naishi Dar es salaam Sina kazi kwasasa, Nahitaji mwenye nia kama yangu tuunge nguvu twende tukasake Ugali.
Amani iwe Nanyi
Tabata T.O.T nadhanUzima upo wanaJamvi?
Naomba kwa yeyote aliye tayari, tuungane week ijayo kuzunguka viwandani kutafuta KAZI
Mimi naishi Dar es salaam Sina kazi kwasasa, Nahitaji mwenye nia kama yangu tuunge nguvu twende tukasake Ugali.
Amani iwe Nanyi
Nenda tanita buguruni haukosi kaziUzima upo wanaJamvi?