Skills and knowledge za kutoa huduma adimu na uwe mtaalam kweli kweliWadau kama kichwa kinavo jieleza apo juu.Ivi ni mchongo gan mtu unaweza wekeza kwa kutumia knowledge tu.Na ukawa unakutengenezea pesa bila ata kuhitaji kias kingi cha pesa kama mtaji.Au pacwepo na hela yoyoteya kuwekeza kama mtaji.
#Mazingira niliyopo ni ya mjini.
1. Fanya kazi ya ushauri kwa malipo.kwa kutumia knowledge tu.Na ukawa unakutengenezea pesa bila ata kuhitaji kias kingi cha pesa kama mtaji.
Asante mkuu1. Fanya kazi ya ushauri kwa malipo.
2. Uandishi wa makala kwa malipo kwenye magazeti au mtandaoni.
3. Buni matangazo ya maandishi yawekee sauti kisha nendaa kwenye kampuni husika onana na watu wa sales wape deal, wakikuelewa unaingia nao mkataba na fedha inangia. ( kuna Benki, Makampuni ya simu, Makampuni ya soda) kote huko kuna fursa
Ingia google/youtube kisha andika "How can your mobile phone be a source of income for you?" utapata idea nyingi sana za nini cha kufanya
Graphics,Mfano kamaa...??