Haika Kimaro
Member
- Dec 25, 2025
- 12
- 42
Kwangu mimi Timu za kaskazini wanabalaa, haswaa timu langu pendwa The Atlas, Morocco 🇲🇦 on 🔥🔥🔥Ukitizama michuano ya AFCON unapata ladha ya soka la Ulaya kwa kiasi kikubwa kutokana na aina ya wachezaji na team wanazochezea Ulaya.
Mfano kikosi cha timu ya Taifa ya Congo chote kinacheza soka la Ulaya kasoro Mayele pekee.
Mwenyezi Mungu amjaalie Mama yetu umri mrefuHata timu ya msumbiji, Zimbabwe zambia wengi wapo ulaya
ni timu la Samia tu ndio linacheza butua butua😬
Michuano ya AFCON mwaka huu inavutia sana kiasi kwamba nimelazimika kutazama kila mechi, unlike michuano iliyopita ilifanyika mwaka 2023 nadhani, sikuweza kabisa kuangalia maana sikuvutiwa nayo.
labda mungu wa kubumba na udongo. Umwage damu za maelfu bado unaendekeza jeur na kiburi halaf useme Mungu Mungu, kama ni mungu wa maboksi hapo sawa!Mwenyezi Mungu amjaalie Mama yetu umri mrefu
labda mungu wa kubumba na udongo. Umwage damu za maelfu bado unaendekeza jeur na kiburi halaf useme Mungu Mungu, kama ni mungu wa maboksi hapo sawa!
Ndo chama langu hilo. Jana walicheza kwa intensity ya hali ya juu sana.Morocco wanabalaa mjombaa
We jamaa ni kiazi tu, mambo mengine bora muwe mnakaa kimya tu!Una uhakika mama amewatuma kuuwa?
Timu ya TZ ni papatu papatuHata timu ya msumbiji, Zimbabwe zambia wengi wapo ulaya
ni timu la Samia tu ndio linacheza butua butua😬