Michuano ya Euro 2020 kuanza kutimua leo 06/11/2021

Michuano ya Euro 2020 kuanza kutimua leo 06/11/2021

Mnyuke junior

Member
Joined
Jun 1, 2021
Posts
19
Reaction score
15
Mashindano ya uefa euro 2020 yanaanza kutimua vumbi leo ijumaa kwa mtanange mkali wa kundi A baina ya miamba TURKEY Vs ITALY majira ya saa 4 kamili usiku kwa saa za afrika ya mashariki, je wewe unamtabiria nani kuibuka bingwa wa euro 2020?? Weka utabiri wako hapa chini [emoji1313]
20210611_080308.jpg
 
Bingwa hatakuwa giant.Spain,Portugal, Germany,Netherland hawawezi kuwa ma bingwa. Akina Denmark ndiyo watakua mabingwa
 
Huo mfumo uliotumia kuandika tarehe huwa unachanganya sana. Hapo inasomeka tarehe 6 mwezi wa 11 mwaka 2021
 
Bingwa safari hii anaweza kuwa Belgium wana kikosi kizuri sana lakini Spain, Germany, England na Italy watakuwa the closest challengers.
 
Bingwa safari hii anaweza kuwa Belgium wana kikosi kizuri sana lakini Spain, Germany, England na Italy watakuwa the closest challengers.
Kwa hiyo France huwaoni kabisaaa.
 
Back
Top Bottom