Mnyuke junior
Member
- Jun 1, 2021
- 19
- 15
Naomba uweke makundi yote hapa tuyaone
Kwa hiyo France huwaoni kabisaaa.Bingwa safari hii anaweza kuwa Belgium wana kikosi kizuri sana lakini Spain, Germany, England na Italy watakuwa the closest challengers.
es