BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Michuano itajumuisha Mechi 64 kutoka kwenye timu za Mataifa 32 duniani kote ambazo zinakutana katika taifa hilo lenye tamaduni za Kiarabu.
Mechi ya ufunguzi inachezwa kati ya wenyeji Qatar dhidi ya Equador na michuano itadumu kwa jumla ya siku 28.
Bara la Afrika linawakilishwa na timu za mataifa 5 ambayo ni Morocco, Senegal, Cameroon, Tunisia na Ghana.
#JamiiForums #Qatar2022 #FIFAWorldCup #JFWorldCup2022 #JFSoka2022