Michuano ya Kombe la Dunia la Netball huko Sydney

the say

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2014
Posts
2,772
Reaction score
3,360
Habari wana JF.

Kuna michuano ya Kombe la Dunia la Netball inayofanyika nchin Australia kuna timu za Africa zinashiriki mfano Malawi, Uganda, south Africa ambazo zimeonesha kiwango cha juu.

Nauliza vipi Tanzania mchakato wetu Wa kufika final hiz tulishindwa Wapi? Inamaana hata netball ni kichwa cha mwenda nanihi?
 
Nimewaona Malawi wakifungwa kwa taabu sana na New Zealand, wamejitaidi aisee...
 
Tanzania ndugu siku hizi hawaelewi uwepo wa michezo mingine. Akili zao zimeishia kwenye soccer tuu. Huu mchezo wa Netball ulikuwa maarufu sana hapa Tanzania hasa hasa ile miaka kabla ya kuja technolojia ya skin tight ambao imepunguza mashabiki kwa kiwango kikubwa.
 

Dah hatar sn ndg yaan soka hatuwez sawa hata netball? Sio lazima tutishe kidunia basi hata east Africa, Uganda, Zambia wanafikaje huko Sydney?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…