Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Mar 30, 2018 #1 Hili liwe jambo la kwanza ambalo nchi zote zenye bifu na Russia na ambazo zimo kwenye orodha ya michuano hii zinapaswa kulifahamu . Russia inatoa Venue tu , kwahiyo hakuna haja ya wadau kuweka mguu mmoja ndani na mwingine nje .
Hili liwe jambo la kwanza ambalo nchi zote zenye bifu na Russia na ambazo zimo kwenye orodha ya michuano hii zinapaswa kulifahamu . Russia inatoa Venue tu , kwahiyo hakuna haja ya wadau kuweka mguu mmoja ndani na mwingine nje .
ankai JF-Expert Member Joined Nov 25, 2017 Posts 3,282 Reaction score 4,251 Mar 30, 2018 #2 Mmmh hawa acha watifuane wenyewe kwa wenyewe sisi tuendelee kunyoosha nchi yetu kwanza
Victor wa happy JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 11,660 Reaction score 11,654 Mar 30, 2018 #3 Siasa inaharibu mpira Urusi anendekeza uhuni wake Sasa anahamia kwenye soka