maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Mkuu una uhakika kwa 100% kuwa bia hazikunyweka?Bila watu kupiga bia ni upuuzi mtupu, Waarabu mpaka mwisho wa Dunia hawawezi tena kupewa fursa hii.
Kwenye starehe usimpangie mtu bia anywe wapi na SAA ngapi, viwanjani pombe walizuia ndio maana hukuona wale mashabiki wenye wazimu wa soka.Mkuu una uhakika kwa 100% kuwa bia hazikunyweka?
ni upuuz kabisa ila mm nili0enda refa kutumia simu tofaut na yale ya russia VAR ILIBOA SANASidhani kama ni sahihi kulinganisha haya mashindano huku tukisahau kuna tofauti ya miaka minne na mendeleo ya kasi ya technolojia
Ndio hivyo mkuu, Lazima kuwe na ubora zaidi kila mashindano kadri muda unavyozidi kwenda.ni upuuz kabisa ila mm nili0enda refa kutumia simu tofaut na yale ya russia VAR ILIBOA SANA
Karibia nchi zote za ulaya kunywa pombe viwanjani ni marufuku kwa hiyo acha kukariri.Kwenye starehe usimpangie mtu bia anywe wapi na SAA ngapi, viwanjani pombe walizuia ndio maana hukuona wale mashabiki wenye wazimu wa soka.
Budweiser kama wadhamini hawakuteΓ±dewa haki.
Bila watu kupiga bia ni upuuzi mtupu, Waarabu mpaka mwisho wa Dunia hawawezi tena kupewa fursa hii.
Kwenye starehe usimpangie mtu bia anywe wapi na SAA ngapi, viwanjani pombe walizuia ndio maana hukuona wale mashabiki wenye wazimu wa soka.
Budweiser kama wadhamini hawakuteΓ±dewa haki.
Kwenye starehe usimpangie mtu bia anywe wapi na SAA ngapi, viwanjani pombe walizuia ndio maana hukuona wale mashabiki wenye wazimu wa soka.
Budweiser kama wadhamini hawakuteΓ±dewa haki.
Mkuu kweli nawe umeziba masikio hukusikia walivyokuwa wanatendewa immigrants? Anyway south na Qatar Africa tulifanya poa sanaNawapa 100%..imeenda vzr kuanzia ujenzi wa viwanja...south Africa tulisikia mamia ya watu wamedondoka kutoka juu wakijenga viwanja ila qatar safety inezingatiwa mnoo hata uwanjani hamna fujo wala ujinga ujinga
Mkuu kweli nawe umeziba masikio hukusikia walivyokuwa wanatendewa immigrants? Anyway south na Qatar Africa tulifanya poa sana
Mkuu kweli nawe umeziba masikio hukusikia walivyokuwa wanatendewa immigrants? Anyway south na Qatar Africa tulifanya poa sana