South Africa Kwa mzee madiba ilinoga zaidi kulikua na vionjo vingi mfano vuvuzela,Waka Waka Kwa sana plus vipigo vya mbwa Koko Mfano bigwa wetu mpya Argentina alikula Goli 4 za nguvu dhidi ya Germany,pia kulikua na game nying sana za kusimumua mfano mechi ya ufunguzi south Africa vs Mexico ilikua game Kali sana Game ya Italy na Slovakia ilikua bonge moja la game kulikua na game Netherlands na Brazil, Spain vs Germany Spain vs Netherlands Portugal vs Ivory coast kiufupi 2010 ilikua tamu zaidi ukilinganisha na 2014,2018,2022