Michuano ya Paralympic yaanza Tokyo

Michuano ya Paralympic yaanza Tokyo

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Michuano ya Paralympics inaanza leo Jijini Tokyo huku Japan ikikabiliwa na mlipuko mbaya zaidi ya COVID-19 ambao umepelekea idadi kubwa ya maambukizi kurekodiwa na Mfumo wa Huduma za Afya kulemewa

Waandaaji wa Michezo hiyo wamekiri itafanyika katika mazingira magumu kwani hali ya Japan imekuwa mbaya tangu Michuano ya Olympics kumalizika Agosti 8

Michezo hiyo itafanyika bila watazamaji na wanaohusika wamesisitizwa kuepuka kula au kunywa nje katika makundi

=====

The 2020 Paralympic Games will kick off in Tokyo with the opening ceremony on Tuesday as Japan struggles with its worst Covid-19 outbreak so far, record daily cases and an overwhelmed medical system.

The organisers admitted last week that the Paralympics will be held under “very difficult” circumstances as Japan’s health situation has worsened since the Olympic Games ended on 8 August and hospitals in the host city are filled to capacity.

The Japanese government and the Tokyo Metropolitan government appealed on Monday to hospitals in the capital to accept more Covid-19 patients as increasing infections have made access to care increasingly difficult, according to Reuters.

“I’m a little concerned about holding the Paralympic Games. Still, I hope the athletes will do their best,” said 52-year-old office worker Chika Sasagawa.

Source: The Guardian
 
Back
Top Bottom