Michuano ya SportPesa inayohusisha timu kubwa za Tanzania na Kenya kutimua Vumbi leo

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906

Leo saa 8:00 Mchana Usikose michuano ya SportPesa ikihusisha vilabu vikubwa kutoka Tanzania na Kenya MUBASHARA ITV na EATV.

Mechi ya pili kuanzia saa 10:15 Jioni , Yanga ya Tanzania dhidi ya Tusker ya Kenya zitachezwa ktk uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.


Mechi zitakazochezwa leo ni AFC Leopards ya Kenya dhidi ya Singida United ya Tanzania, Saa 8:00 mchana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…