Josephine03
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 752
- 302
Nahisi Michuzi anaonewa bure kwenye hili suala, yeye amewakilisha tu kilichoandikwa!! Hata hivyo, kilichoandikwa hakina ukweli?Nimekuta mtu kamnukuu mwanamakala kutoka Michuzi Blog akiwa ameipa kichwa cha habari watanzania wasomi ndio tatizo la nchi yetu.na kutoa sababu ni
1. Tunalalamika sana
2. Tunapenda kuajiriwa " Civil Service na perdiem mentality"
Mawazo yangu kuna usemi unaosema maskini akipata ****** ulia mbwata. Simfahamu Michuzi namsikiaga na kumuonaga akipiga picha. Ujuzi wa kutumia kalamu ktk kuwashauri watu au kuielezea jamii fulani ameupata wapi??? Je anaelewa kama kunamaneno mengine ukiyatumia sipo yanaleta maana ya matusi kama sio kejeli na dharau? Wana JF mnisaidie kwahili........ NAWAKILISHA
Nimekuta mtu kamnukuu mwanamakala kutoka Michuzi Blog akiwa ameipa kichwa cha habari watanzania wasomi ndio tatizo la nchi yetu.na kutoa sababu ni

1. The so called THINK TANKS wanatufelisha kweli na acha tuambiwe ukweli wasomi wa nchi hii (baadhi). I mean yako majembe machapakazi khaswaa na ndo atleast yanaokolea nyavuni now otherwise tungekuwa marhum kabisa.
2. Huyu mtu (Michuzi) yupo karibu sana na furnace yawezekana anafikisha ujumbe fulani hapa....in trying to think out of the box.........!!!!!!!!!!!
But wanasema samaki mmoja akioza????
Kama tuhuma hizi si kweli then proving them (walioandika) wrong is the only way to end this debate
1. Tunalalamika sana
2. Tunapenda kuajiriwa " Civil Service na perdiem mentality"
ama kweli masikini akipata matak@ hulia mbwata
Nimekuta mtu kamnukuu mwanamakala kutoka Michuzi Blog akiwa ameipa kichwa cha habari watanzania wasomi ndio tatizo la nchi yetu.na kutoa sababu ni
1. Tunalalamika sana
2. Tunapenda kuajiriwa " Civil Service na perdiem mentality"
Mawazo yangu kuna usemi unaosema maskini akipata ****** ulia mbwata. Simfahamu Michuzi namsikiaga na kumuonaga akipiga picha. Ujuzi wa kutumia kalamu ktk kuwashauri watu au kuielezea jamii fulani ameupata wapi??? Je anaelewa kama kunamaneno mengine ukiyatumia sipo yanaleta maana ya matusi kama sio kejeli na dharau? Wana JF mnisaidie kwahili........ NAWAKILISHA
Ukiachana na suala la Michuzi kusema au kutosema maneno hayo binafsi kwa dhati kabisa naamini kuwa ni kweli wasomi wa nchi hii tunapenda kulalamika na kuajiriwa.