Michuzi awa Designer?!!

Bollo Yang

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Posts
440
Reaction score
51
Kwa pamba kali tafadhali wasiliana na Bwana Michuzi utapata vitu quality kama inavoonekana kwenye picha.....


 

Attachments

  • DSC01157.jpg
    34.3 KB · Views: 176
  • DSC01177.jpg
    26.4 KB · Views: 147
Acha kutuchanganya, hapa alikuwa ni sponsor kwenye hiyo show, kuwa designer ni kuandika lebo ya biashara kwenye T-Shirt. Basi kila aliyefiwa na kufyatua t-shirt ni designer. Duh bongo ma-designer kibaao.
 
Kwa pamba kali tafadhali wasiliana na Bwana Michuzi utapata vitu quality kama inavoonekana kwenye picha.....



wewe na michuzi mnauza hayo mabango?!!!.....................kweli maisha ubish
 
tehe tehe teheee!!
cloth line??? fulana?
 
watu huanza mbali, kama michuzi ameanza na clothing line ya fulana, achaneni nae... atakua, kesho atawaonyesha nguo design nyingine na ghafla itakuwa michuzi blog and fashion designs ltd na hata anaweza kuingia ubia na hassanali πŸ™‚ πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…