Michuzi mkono wa nini??kwa mke wa mwenzio??

Michuzi mkono wa nini??kwa mke wa mwenzio??

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Dk michuzi mkono wa nyuma wa nnini kwa mke wa mwenzio???? Mbona mwenzio yuko komfotabo!! Mi hapa ndipo unaniacha hoi ujivungi kutoa hisia zako na ulivyo ukiwaona models!!!
Shalom kwa mama michuzi...
 
Dk michuzi mkono wa nyuma wa nnini kwa mke wa mwenzio???? Mbona mwenzio yuko komfotabo!! Mi hapa ndipo unaniacha hoi ujivungi kutoa hisia zako na ulivyo ukiwaona models!!!
Shalom kwa mama michuzi...

umejuaje kuwa huyo ni mke wa jamaa, hata kama ni mke wa jamaa huwezi jua wana mazoea gani?, na kama umeona jamaa yupo confortable wewe kinakuuma nini?

kama lengo lako ni kuvunja ndoa ya jamaa (Michuzi), kwa nini usiipeleke hii picha na maelezo yako kwa mama Michuzi unaemkusudia kuliko kuibandika hapa na kuandika ujinga?
 
Hii imefuta nini kwenye jukwaa la siasa? naona vijana wa ze ***** mnandeleza kazi yenu.
 
Ondoa hiyo thread invisible jamaa anajilasi na michuzi sasa kuiweka hapo ndo nini? Weka katika picha za jamiiforums
 
umejuaje kuwa huyo ni mke wa jamaa, hata kama ni mke wa jamaa huwezi jua wana mazoea gani?, na kama umeona jamaa yupo confortable wewe kinakuuma nini?

kama lengo lako ni kuvunja ndoa ya jamaa (Michuzi), kwa nini usiipeleke hii picha na maelezo yako kwa mama Michuzi unaemkusudia kuliko kuibandika hapa na kuandika ujinga?

Kanuni za JF zinasemaje kuhusu hili? yaelekea kama unatengenezwa ugomvi kati ya wahusika na familia zao. Ndio matumizi sahihi ya JF?
 
Kwa nini kama kimekuuma usiweke maoni yako kule kwa Michuzi ambako kwa hakika atasoma?
Halafu mbona hata huo mkono hajauweka vibaya na wewe kama si kuchokonoa watu?

Huyo ni Sporah Njau, mtangazaji wa kipindi cha "Sporah Show" kwenye BenTV ambayo inapatikana kwenye channel moja wapo ya SkyTV. Ni mke wa nani?
 
Back
Top Bottom