Microfinance ya EFC wanapatikana wapi Dar?

Mkalapa boy

Member
Joined
Aug 19, 2021
Posts
84
Reaction score
172
Habari wanafamilia ya JF. Naomba kujuzwa kwa yeyote anayefahamu hii microfinance Bank(EFC) wanapatikana wapi kwa Sasa hapa Dar
 
Inapatikana maeneo ya Victoria-Mikocheni pale
 
Imechukuliwa na Mwanga Hakika Bank
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…