INAUZWA Microscopes zinauzwa

mzungu wapink

Member
Joined
Oct 9, 2018
Posts
80
Reaction score
114
Rafiki yangu kanipigia kanambia walikua wamepanga lufungua dispensary mkuranga

Ila kuna issues zikatokea yeye na partner wake waka sitisha project
Wameamua kuuza vifaa vya kazi
Na uimebaki microscopes mbili izoapo chini
Anauza kwa 1.2ml each na ziko mbili
Unaweza piga 0788283409 kwa maelezo

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…