Sijakuelewa mheshimiwa.
Andika ombi lako kwa umakini kama unataka matokeo mazuri.
Mkuu Buswelu hongera kwa nyendo zako kuelekea MCDBA,ndio tunataka watu kama ninyi,siku hizi watu tunajali nini utatupatia na si nini umesoma so ni changamoto kutafuta prof courses.
Back to ya Point,hapa nina vitu fulani ambavyo nadhani vinaweza kukusaidi so we nitumie e mail yako kwenda kilongwe@qq.com then niangalie jinsi ya kukutumia baadhi ya material.
Tutafika tu,hata Marekani ilianza kama Tz,la muhimu ni kuongea kwa vitendo.
Buswelu unaweza kushare na sisi hizo training video za SQl 2005?