R Realist Member Joined Dec 11, 2006 Posts 90 Reaction score 7 May 12, 2009 #1 Jamani wana- JF nahitaji msaada wa yeyote ambaye anatumia hii software. Nime-download na ku-install lakini ninatakiwa kuwa na ID na password nitapata wapi? Msaada tafadhali. Asante!
Jamani wana- JF nahitaji msaada wa yeyote ambaye anatumia hii software. Nime-download na ku-install lakini ninatakiwa kuwa na ID na password nitapata wapi? Msaada tafadhali. Asante!