tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Na vyuoni, mashuleni pia.Ifahamike, 'Microsoft Teams' ni programu ya mawasiliano na ushirikiano wa kikazi, inayomruhusu mfanyakazi kuzungumza, kufanya mikutano ya video, kushirikiana mafaili, na sasa pia kufuatilia mahali wafanyakazi walipo kwa ajili ya usimamizi wa rasilimali watu
Eeeh hii mmmmmmh niliisoma mahala nikasema haya weeeeHata hivyo, baadhi ya wadau wameeleza wasiwasi wao, wakihofia kuwa teknolojia hiyo inaweza kutumika kama njia ya kufuatilia wafanyakazi badala ya kurahisisha mawasiliano kazini.
Kwa wafanya kazi janja hii itawanyoosha.. unasema upo kazini kumbe upo bar unakula masangaTija yake ninini, kwa sasa unapelea wapi kwenye deliverables?
Smart city π ποΈ ni mnyororo wa kisasa na bado wanaendelea kubuni vitu vingine ambavyo ni ngumu kuvikwepaIt's all about CONTROL...
Around the world, corporations have turned devices into a surveillance machine.
Smart meters
Smart cars
Smartphones
Smart watch
Smart TV ect.
The word βSMART' refers to self- monitoring, analysis, and reporting technology. All the smarts are designed to talk to each other to create a mass surveillance grid.
A smart illusion of safety and security, but actually it's about tracking us into digital control and surveillance, also they can turn them off whenever they want.
It's all about control.
- Bob Manson
- smart
- Replies: 15
- Forum: General Discussions
Kuna watu wanafanya kazi mtandaoni lakini wanatakiwa kuwa sehemu fulani (kisheria, kikodi etc), lakini hawafanyii kazi kutoka sehemu hiyo wanakwenda sehemu nyingine kinyemela.Tija yake ninini, kwa sasa unapelea wapi kwenye deliverables?
Hizi VPN zinazo kuonyesha zipo sijui US au Europe ni magumashi.Ingawa mtu anaweza kuingia kwenye VPN Canada kutoka Tqnzania, akaonekana yupo Canada.
Hizi VPN zinazo kuonyesha zipo sijui US au Europe ni magumashi.
Siku hizi employer wenyewe wanakuwa na automatic VPN ambazo ni approved to access their network...
Hapo ukija na hizi VPN za public, unakuwa blocked na kushindwa ku access their network, hapo unashtukiwa....
Mimi pia i work from home 60%, 40% field. Kama nisingekuwa na field activities ningekuwa nawork from anywhere as long as my deliverables are met.Kuna watu wanafanya kazi mtandaoni lakini wanatakiwa kuwa sehemu fulani (kisheria, kikodi etc), lakini hawafanyii kazi kutoka sehemu hiyo wanakwenda sehemu nyingine kinyemela.
Mfano kuna rafiki yangu alikuwa anafanya kazi kutoka nyumbani Canada, lakini aliona hana haja ya kuwa Canada akaenda kufanya kazi Tanzania kinyemela.
Kwa mfumo huu mpya, muajiri ataweza kuona kuwa huyu hayupo Canada yupo Tanzania.
Ingawa mtu anaweza kuingia kwenye VPN Canada kutoka Tqnzania, akaonekana yupo Canada.
Lakini pia kuna namna ya kujua IP addresses za VPN.
Huyo jamaa aliyetoka Canada kufanya kazi Tanzania, kuna siku yupo katika conference call ya kazini, jogoo akawika akasikika kwenye call.Mimi pia i work from home 60%, 40% field. Kama nisingekuwa na field activities ningekuwa nawork from anywhere as long as my deliverables are met.
Hawa wanataka kutuletea kasheshe π
π π πHiyo jamaa aliyetoka Canada kufanya kazi Tanzania, kuna siku yupo katika conference call ya kazini, jogoo akawika akasikika kwenye call.
Watu wakamuuliza nini hicho?
Akasema kuna mtoto anacheza game hapa chumba cha pili πππ