Microsoft yainunua Nokia

Mulongo

Member
Joined
Apr 28, 2012
Posts
28
Reaction score
3
Kampuni ya microsoft imeinunua kampuni ya simu ya nokia na haki zote za kampuni hiyo. Zaidi ya wafanyakazi 32,000 wa nokia wote wataajiriwa na kampuni ya microsoft.

-----------------------------------




My Take
sisi na vinokia vyetu vya tochi itakuaje
 
Daah this a historical move,,,,kudos gates&allan for this great move,,with Mr.Elop on board Microsoft is to become a formidable force,,,,i like this
 
na sie wamiliki wa tochi pia tunanunuliwa au tunajinunua wenyewe?
 
Hivi billgates hajashiba mifwedha yote hiyo??
 
siondoki nokiyaaaaaaaa!

hapo mkuu chief mkwawa nahisi itabidi aanze kupenda microsoft devices maana ugonjwa wake ndio hivyo tena umeenda ms.. komaa tu mkuu na nokla yako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…