Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 826
- 1,622
Unawashaurije hawa vijana na ni Nini kinakujia akilini ukimuona kijana wa kileo amevaa hivi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kaona wivu hapo bobu punguza ushostiAcha kuona wivu
Unataka tuvaaje sasa
Si ndy fashion ya vijana wa leoUmarekani mwingi ila ushamba mtupu
..Nguo zina rangirangi kibao mpaka zinaumiza macho wale wazee wa mitumba ndo wanapenda hivyo..