Midabwada

Nawashauri.....
Aaah nimekosa ushauri 🙆
Ila hao wadogo zangu wamezidisha😂
 
Umarekani mwingi ila ushamba mtupu
..Nguo zina rangirangi kibao mpaka zinaumiza macho wale wazee wa mitumba ndo wanapenda hivyo..
 
Mbaya zaidi na kinachouma zaidi jamii hiyo ya wavulana wanapenda kunywa sana Savannah,,,tungi za kina T.yeye!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…