Midege ya kivita ya Marekani inatisha!

Yani hizi siku moja tu Tz inakuwa nyeupe kama taifa.
 
Hiyo F-117 ndo nimeipenda kwa umbo,lakini haitumiki tena,waliitoa baada ya kutunguliwa kule serbia.
 
wachina ni washenzi hawajitangazi lakini siku wakiamua kujianika dunia itabaki na taharuki

Wazee wa ku copy & cyber epionage. hawana lolote, ndege zao walicopy design za USSR.
 


INAPENDEZA SANA MACHONI (JAPO KAZI YAKE CHAFU!)
Ninahisi wabunifu wa umbile lake waliigiza umbile la samaki TAA (STING RAY!) kama 'mkwara mbuzi' au 'nahau kwa vitendo!'
na ilitunguliwa kwa silaha ya kawaida sana(Anti Aircraft gun),kwa aibu wakazitoa kwenye service na kuzipeleka scrap yard.
 
Lakini na sisi hawatuwezi kwa teknolojia ya kuruka kwa ungo!
 
Chinese J-31 stealth fighter compare with US F-35.
 
Jamani musimudharau Mrusi, naye yuko juu, same level na huyo Marekani.



The Sukhoi 35S is a multi role combat aircraft which is, at the same time, also a fighter aircraft; in other words, an aircraft whose various roles include, among others, the role of air-to-air combat (compare with USAF F-16 and F-18).



The Sukhoi 27SM is an air-superiority fighter, is a type of fighter aircraft designed for entering and seizing control of enemy airspace as a means of establishing complete dominance of one side's air forces over the other side's (compare with USAF F-22)
 
US insect spy drone,usidhani ni mbu,ni drone inachukua picha,inakufyonza damu kama mbu na kuipeleka kunakohusika kama wanataka DNA yako.
Inaweza hata kukuwekea sumu.
 
Hiyo night hawk stealth fighter ni the beauty of engineering aisee.. hata m-shape wake hiyo airflow hapo si mchezo...

Miaka miwili mitatu baadaye inabidi nirudi darasani, sasa hivi nikasomee kuziendesha hizi mishe... Theres nothing like flying, tatizo bongo hazipo sasa tutaendesha wapi?
 
Jamaa wapo sawa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Shout to Lockheed Martin kwa shughuli pevu la kuipendezesha anga ya dunia hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…