Midege ya kivita ya Marekani inatisha!

US insect spy drone,usidhani ni mbu,ni drone inachukua picha,inakufyonza damu kama mbu na kuipeleka kunakohusika kama wanataka DNA yako.
Inaweza hata kukuwekea sumu.

hawa jamaa vichwa vyao vinawza nini?kwa ujasusi wanajiweza
 


hiyo ni B2 USA
hii kitu ina jiko kwa ajili ya kuchemshia msosi marubani,na pia toilet.

Kwasababu ni long range bomber inatoka marekani inakwenda kupiga irag na kurudi marekani bila kutua popote pale.
 
Sisi kufika hapo sijui ni lini? Ukiuliza utaambiwa HATUNA UGOMVI NA JIRANI ZETU!
 
tunaposema ndege aina ya f.22 hazionekani ktk radar tunamaanisha ktk nchi gani maana hizo ndege zisizoonekana hata urusi anazo sasa atashindwaje kutengeneza radar za aina hiyo,je zile gari za s.400 mmeziona?
 
tunaposema ndege aina ya f.22 hazionekani ktk radar tunamaanisha ktk nchi gani maana hizo ndege zisizoonekana hata urusi anazo sasa atashindwaje kutengeneza radar za aina hiyo,je zile gari za s.400 mmeziona?

aisee hili swali zuri kweli!
_ina maana mrusi anaweza peleka ndege kama hiyo marekani na mmarekani asiione ?
 
Pamoja na yote hayo lakini zimeshindwa kwenye maeneo mengi, mfano ni milima ya Tora Bora Afghanstan na zimeshindwa kulinda maslahi ya marekani na kuwalinda wamarekani popote ulimwenguni

unasoma historia kweli wewe marekani sio tanzania mwananchi wake mmoja anatangaza vita sio tanzania wabongo wananyongwa na kutupwa ziwa tanganyika na wanyarwanda wanakaa kimya ni kutisha tu kanchi kadogo ila hawachukui hatua zozote
 
(F22 Raptor)---> hii ni balaa sana!! Ndio itakayowapa waMarekani Air Dominance kwa miaka mingi.

1. Supersonic Speed. Top Speed - 2,410 km/h (twice the speed of sound)
2. Radar Absorbing Surface
3. Target Sight Distance (160km)
 
tunaposema ndege aina ya f.22 hazionekani ktk radar tunamaanisha ktk nchi gani maana hizo ndege zisizoonekana hata urusi anazo sasa atashindwaje kutengeneza radar za aina hiyo,je zile gari za s.400 mmeziona?

Labda lugha nzur ni kusema "its hard to detect" sio huwez kuiona kbsa... kwa kawaida Radar mfano dopler huakisi metal in form of detection na kurudisha taarifa kwa Source hapo ndio tunasema umeonwa na Radar (lazima kuwe na two way transmission) sasa kwa muundo wa ndege km F-22, B2 au stealthy yoyote ile ikishapigwa na zile waves umbo lake haliruhusu mwangwi kurudi kwenye source ili kukamilisha ile process... lile umbo na material vina absorve zile waves halaf inasababisha taarifa kutorudi so kama mnatumia Radar za Kisasa mtapata tu signal ila hamwez jua ndege iko wap, hamwez itarget, hamwez jua ziko ngap, hamwez jua iko umbali gan na pia hamwez jua ni fighter au bomber so how well can u prepare for counter measures na hili linachanganya zaid.
Kama uko na Anti aircraft mfano Tunguska unaweza kuipiga ukishaiona kwa macho na kama iko within the altitude sasa ndo uombe yeye awe hajakuona ww cz most likely pilot ndio ataanza kukuona ww kwanza through his infrared or gogles cam... Yet hardwares like these doesnt guarantee you anythng...
 
aisee hili swali zuri kweli!
_ina maana mrusi anaweza peleka ndege kama hiyo marekani na mmarekani asiione ?

unajua watu wengi humu wanaiona marekani ipo juu kijeshi kutokana na kujiingiza ktk vita na vinchi vidogo,na promo za redio na mitandao,lakini uhalisia marekani haitishi ktk nchi kama urusi,pia hawa jamaa wamekuwa wakishirikiana sana ktk technolojia kwahiyo siraha unazoziona marekani pia utaziona urusi,na ikitokea kutoziona basi atakua anambadala ya hizo silaha,kwahiyo tusidanganywe na mikwara ya picha za ndege tukaona marekani ni noma,hiv unajua nchi inayoongoza kwa submarin nyingi duniani ni N.korea?
 
aisee hili swali zuri kweli!
_ina maana mrusi anaweza peleka ndege kama hiyo marekani na mmarekani asiione ?

urusi alipeleka submarin ndani ya marekani ikakaa kule mwezi mzima bila marekani kujua akamwambia wakati wameondoka,
 

aaaaah! mnavujisha siri za jeshi sio?
 

Dduh!!! Mossa wanikosha saana. Nii nyumayo Mkuu nafuatilia Nyuzizo. Aksante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…