Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Duh! yaani uko fasta hivi? Umeshamtungia mtoto wa watu GS shairi.....gademu!
Mwanakijiji uko fasta si haba...........Sa hizi naona uko bize Chart room....Kila la heri
ungejua siingii kwenye chat hizi hujui tu; ukiondoa watu wachache ambao tunasalimiana nakwepa kweli haya mambo ya kujifungia chumbani na mke wa mtu mtakuja bambwa iwe soo.. ! Nilishasusiwa mtoto sitaki tena.
Duh! yaani uko fasta hivi? Umeshamtungia mtoto wa watu GS shairi.....gademu!
ha ha ha.Nyani Ngabu kwa uchokozi.Ila usije ukaiba tu mistari ya Mwanakijiji,maana ulishasema kuwa wewe ni kilaza wa kuandika mashairi..Huna lolote unavizia kuiba..ha ha ha.Plagiarism
Msaada kwenye tuta. Naomba mtu anaejua kodi ya gari aina ya benz tz ni kiasi gani jamani. Tupo pamoja wana JF
Na ungejua jinsi jamaa alivyokuwa lifesaver.....mwenzenu siku hizi naonekana ni mtu ninaye care sana. Namwagiwa misifa kem kem.....ni muhimu kuwa na watu kama Mwanakijiji.....sasa ngoja nikateme mistari miwili mitatu ya midnight whispers...lol

sikukuelewa hapa mwanzoni.. lakini nimekupata nimecheka saana!!