agness s obedi
Member
- Nov 5, 2016
- 71
- 59
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ratiba za huku ni kwamba unapojiunga na JF kwa mara ya kwanza unatakiwa uweke picha yako hapa mkuu!......please weka picha yako hapa!
Binti taratibu mama vichwa vya huku ni tofauti na vichwa vya Fb na whtup groups..
Mhhhh!!.....you look so cute and sexy,uko beutiful sana![emoji39] .....nikuulize kitu mkuu?
Dada kazi unayo sio kidogo utakuja kunielewa baadae
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]....acha ukuda mkuu,mimi sijawahi kuwa na bahati hapa JF kwa hiyo hili ndo kimbilio langu la pekee!!Nakushauri ufunge private msg zisiingie