Mie mgeni sijui ratiba za humu wa kuu

aisee mgeni umevunja kanuni namba 2 ya jaamiforum ibara ya 10 katika katiba ambayo Mimi na timu nzima ya JF tumechangia kuiunda nasikitika hawa wenzako hawakukuambia ni wabaya sana hawakutakii mema katiba inasema kama ifuatavyo. {a) kabla ya kuanzisha au baada ya kuanzisha huu Uzi unatakiwa uwe umeshafika kwenye PM yangu mm mwenyekiti. (b)kwenye PM inakubidi unitumie picha zako ukiwa katika mapozi tofauti yenye kuvutia ili tuweze kutunza kumbukumbu zako. (b)lazima kunipa namba yako ya simu ili kama kutatokea tatizo ili nikujulishe. (c)baada ya kuanzisha mada mbalimbali ibabidi unijulishe nikutoe OUT ukaenjoy hii ni bonus au trophy pts tulizoziweka viongozi kukupongeza mwanajamiiforums (d)huruhusiwi kujibu PM zezote za member wa kiume kwa mwezi mzima ili kukuondelea usumbufu inakubidi uwe na mawasiliano na Mimi venginevyo tunakupiga ban. Ni hayo tu karibu JF
 
Mama kazi unayo.....sasa watakuwa wanatumia picha yako kubetia.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] kweli mjini shule
 
Akitaka kuja uko PM apande daladala za wapi?
 
Duuh!!! Kweli huyu mgeni!!! Yani ww hapa umewarihisishia kazi polisi!!! Wakitaka kukutafuta wanakudaka kama kuku!!! NB;my real name is Uledi
Hahaha mgeni hana hiyana jamani c mlitaka kapicha haya ss kazi kwenu
 
heheh yani umjianika WAAAAZ [emoji23][emoji23][emoji23] dada hii ni jf sio whatsapp group yani ukijikanyaga tuu uko ndani [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] bai ze wei fanya kufuta iyo AC weka mpya tuu maana ukikanyaga katiba imekula kwako ila kabla hujatenda kosa njoo pm ama inbox unipe namba yako pap nikupe sheria za hapa si unajua sisi wakongwe humu [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]
 
Mimi ndio nitakuwa mwenyeji wako humu chochote niulize mimi
 
[emoji134][emoji134][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mi ndio bos hapa jamiiforums, mwenyekiti, manager na moderator wa hapa so be careful dada, sheria namba moja unatakiwa uniaalimie kila asubuhi sheria namba mbili usisahau sheria namba moja. sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…