Philip Dominick
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,021
- 189
jamani mie mpya humu ndani nikaribisheni,nifundisheni jinsi yaku co oparate na watu humu,jinsi ya kutumia vema jf na mengneyo mengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana JF mkuu.
Zaman ulikua unatumia jina gn?
Karibu JF
Karibu Philip, jichanganye kwenye kuchangia/kukosoa hoja kwa hoja na kama una uthibitisho wa hoja yako ndio mzuka zaidi.