Philip Dominick JF-Expert Member Joined May 26, 2013 Posts 1,021 Reaction score 189 Jun 10, 2013 #1 jamani mie mpya humu ndani nikaribisheni,nifundisheni jinsi yaku co oparate na watu humu,jinsi ya kutumia vema jf na mengneyo mengi
jamani mie mpya humu ndani nikaribisheni,nifundisheni jinsi yaku co oparate na watu humu,jinsi ya kutumia vema jf na mengneyo mengi
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jun 10, 2013 #2 Karibu sana JF mkuu.
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,804 Reaction score 12,227 Jun 10, 2013 #3 Zaman ulikua unatumia jina gn?
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 8,659 Reaction score 2,227 Jun 10, 2013 #4 Karibu JF
Izz JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 750 Reaction score 322 Jun 10, 2013 #5 Karibu Philip, jichanganye kwenye kuchangia/kukosoa hoja kwa hoja na kama una uthibitisho wa hoja yako ndio mzuka zaidi.
Karibu Philip, jichanganye kwenye kuchangia/kukosoa hoja kwa hoja na kama una uthibitisho wa hoja yako ndio mzuka zaidi.
Philip Dominick JF-Expert Member Joined May 26, 2013 Posts 1,021 Reaction score 189 Jun 10, 2013 Thread starter #6 Ulimakafu said: Karibu sana JF mkuu. Click to expand... shukran kaka nimesha karibia
Philip Dominick JF-Expert Member Joined May 26, 2013 Posts 1,021 Reaction score 189 Jun 10, 2013 Thread starter #7 KakaJambazi said: Zaman ulikua unatumia jina gn? Click to expand... kwann umeniuliza hvyo
Philip Dominick JF-Expert Member Joined May 26, 2013 Posts 1,021 Reaction score 189 Jun 10, 2013 Thread starter #8 Globu said: Karibu JF Click to expand... nimesha karbia mkuu,ahsante kwa ukaribisho
Philip Dominick JF-Expert Member Joined May 26, 2013 Posts 1,021 Reaction score 189 Jun 10, 2013 Thread starter #9 Izz said: Karibu Philip, jichanganye kwenye kuchangia/kukosoa hoja kwa hoja na kama una uthibitisho wa hoja yako ndio mzuka zaidi. Click to expand... na amini ntashriki vema,tena bila kuwa na hofu yoyote
Izz said: Karibu Philip, jichanganye kwenye kuchangia/kukosoa hoja kwa hoja na kama una uthibitisho wa hoja yako ndio mzuka zaidi. Click to expand... na amini ntashriki vema,tena bila kuwa na hofu yoyote