MIE NI Form 2 NILIYEPATA ALAMA 20 LAKINI NIMEINGIA F3

Mabele Maduhu

Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
20
Reaction score
4
Jamani napenda kujitokeza hadharani tena peupee na kukiri mbele yenu kabisa kuwa,mimi ni mwanafunzi wa Kidato cha Tatu niliyefaulu kwa Mbinde lakn mwaka huu umekuwa wa neema kwangu.Nimeingia F3 kwa alama ya F lakini kichwani hazimo kabisa.JE NITAKAPOFIKA F4 NITAFAULU KWELI?
 
Hivi hata form 3 huwa mpo jamii forums? mda wa kukariri Periodic table mnaupata wapi? duh anyway hongera kwa kuwa kilaza mjanja
 

Ina UHUSIANO GANi na HABARI ZA KISIASA zinazotakiwa kuwekwa kwenye hii NEWS SPOT ambayo ni ya SIASA?

Au ndio kutafuta Umashuhuri HUKO ?
 
Utafaulu tu dogo komaa sana, pia inaweza tokea promo ya cheka time mkaruhusiwa kwenda form 5 nyote! Maana sera zinabadilika kila muwekezaji anasera zake, pia si 2015 imekaribia mnaweza kuunganishwa kwenye cheka bombastic na mkatolewa kwenye hii huduma ya nani mtaani jembe maana inatudharirisha sana mkifeli. Hongera 20% wewe ni mtu mkubwa sana kwa sasa tembea kifua mbele umewini.
 
Ina UHUSIANO GANi na HABARI ZA KISIASA zinazotakiwa kuwekwa kwenye hii NEWS SPOT ambayo ni ya SIASA?

Au ndio kutafuta Umashuhuri HUKO ?

Mkuu Acha Ukali, Kakwambia Yeye Kichwani Hamna Kitu, Yaani Hata Kupost Thread Ingekuwa Mtihani Angepata Zero
 
dogo hongera zako una F na unakimbiza hapa jukwaani na post yako .ila sasa ww mpaka hapo unaonekana uko vizuri sema mambo mengi.punguza haya mambo muda elekeza kwa kitabu utatengeneza vizuri tu 2015
 
Huku ni kutuwekea walimu mazingira mazuri ya kusemwa sana kuwa tunafelisha na pia kufanya kazi iwe ngumu kwa kuhakikisha unafaulu form four, sikuvunji Moyo jitahidi kusoma make kufeli na kufaulu vyote vipo mikononi mwako.
 
wewe acha unafiki.wewe mtu mzima na midevu yako unaanza kuzusha mambo,wewe ni form 3 kweli wewe?
 
Amezusha nini? Kuruhusiwa kwenda f3 kwa wastani wa 20% au kazusha kuruhusiwa wotet kuingia f3 hata walio na wastani wa 0%? Sema alichodanganya nini hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…