Mie ni mgeni wapendwa

Mr Lucifer

Member
Joined
Nov 20, 2015
Posts
15
Reaction score
1
Kawaida ya wageni wastaaribu wakifika mahali hasa kwa jamii ya watu tofautitofauti ni lazima wajitambulishe,jina langu kama mnavoliona.

Wadogo zangu,wajukuu zangu na msiokubali udogo naombeni ushirikiano wenu tafadhali.

Hodiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…