Mieleka: Mwanamieleka afariki Dunia katika pambano

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,189
Reaction score
9,299
Tetesi tulizopokea muda huu ni kwamba REY MYSTERIO amefariki.

Last edited by a moderator:
aaliekufa ni pero aguayo ambaye alikua anapigana na rey.
source sporting news
 
Mkuu aliyekufa ni mwingine aliyepata majeraha wakati anapambana na Rey Mysterio

Wrestler Perro Aguayo Jr., aka El Hijo del Perro Aguayo, passed away this morning as a result of injuries he sustained during a match at a CRASH event in Tijuana, Mexico.

Aguayo Jr., who was 35, teamed with TNA's Manik against TNA's Tigre Uno and ex-WWE Superstar Rey Mysterio on Friday night. As of now, it's believed that Aguayo Jr.'s death was caused by cervical spine trauma suffered when Mysterio dropkicked him into the ring ropes - a set up spot for Mysterio's signature "619" move. Aguayo Jr. hit the ropes improperly and was immediately rendered unconscious.

Aguayo Jr. never regained consciousness. He died at the hospital later at 1am this morning. Aguayo Jr. was the real-life son of lucha libre legend Perro Aguayo.

Source: Perro Aguayo Jr. Dies After Wrestling Match with Rey Mysterio
 
Last edited by a moderator:
aaliekufa ni pero aguayo ambaye alikua anapigana na rey.
source sporting news
Mkuu lini hiyo? Ilikuwa ulingoni? Rey sijamuona siku nyingi sana, hivi bado yupo WWE au alihama?
 
Mkuu lini hiyo? Ilikuwa ulingoni? Rey sijamuona siku nyingi sana, hivi bado yupo WWE au alihama?
leo asubuhi ndo kifo kimeripotiwa.Rey anapigana kwao mexico na kibaya zaidi jana ndo ilikua mechi yake yakukaribishwa rasmi
 
nashukuru kupeana taarifa ,si wengine ni mashabiki wa mieleka
 
katika mchezo wa wrestling hasa ile ya kina john cena and the likes,wanakwambia "the action is fake but the pain is real".hivyo basi sishangai kwa kilicho mtokea huyo mwana mielekea aliye aga dunia.RIP
 
Mkuu lini hiyo? Ilikuwa ulingoni? Rey sijamuona siku nyingi sana, hivi bado yupo WWE au alihama?

rey mysterio mkataba wake na wwe umeisha na sasa anafanya kazi AAA(Asistencia Asesoria y Administration) nchini mexico .na huyo jamaa amefariki 21st march 2015.
 
katika mchezo wa wrestling hasa ile ya kina john cena and the likes,wanakwambia "the action is fake but the pain is real".hivyo basi sishangai kwa kilicho mtokea huyo mwana mielekea aliye aga dunia.RIP
Mkuu mimi ni mpenzi sana wa mieleka na nimekuwa nikiangalia kuanzia WWF, WWE na TNA. Lakini huwa kusema kweli nashindwa kuelwa hiyo falsafa ya action is fake but the pain is real. Hivi kwa mfano wakati Rey anawaweka kwenye kamba wale wapinzani wake na kuwapiga double kick, huwa ni fake?
Kitu kingine ambacho huwa kinanishangaza ni kwamba kila mchezaji ana namana yake ya kumaliza pambano.
 
Rey yupo flexible ana kasi na akili nyingi sana.John Cena nilikua napenda alivyokua na comfidence na kutokata Tamaa
Mzee kumbe upo na huku. Safi sana. Mieleka huwa inanipa burdani sana. Akina Cena, Undertaker, Rey, Guerero (RIP), the Animal, Tripe T, Randy, nk. Ila kusema kweli mimi nawazimia Rey na Cena.
 
Mzee kumbe upo na huku. Safi sana. Mieleka huwa inanipa burdani sana. Akina Cena, Undertaker, Rey, Guerero (RIP), the Animal, Tripe T, Randy, nk. Ila kusema kweli mimi nawazimia Rey na Cena.

Ina maana wote hawa wame kufa???? Maana sija angalia muda kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…